Saturday, September 29, 2012


RAIS KIKWETE AONANA NA UJUMBE WA MWAPORC IKULU, DAR ES SALAAM, LEO

Posted by GLOBAL on September 29, 2012 at 5:34pmComment 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiuonesha njia za reli katika  ramani ya Tanzania ujumbe toka kampuni ya Mwambani Port and Railway Corridor Company (MWAPORC) uliomtembelea leo Septemba 29, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam kumweleza nia yao ya kutaka kuwekeza katika sekta ya reli.
Rais Jakaya Mrisho…

KAMPUNI YA MATANGAZO YA SYSCORP GROUP YAKUTANA NA WADAU WAKE

Posted by GLOBAL on September 29, 2012 at 1:00pmComment 
Afisa Mtendaji Mkuu wa Syscorp Group, Beatus Kaboja, akiwakaribisha wadau wa masuala ya matangazo ya kibiashara katika hafla maalum aliyowaandalia jana kwenye Makao Makuu ya ofisi yake yaliyopo Regent Estate Mikocheni, jijini Dar es salaam.

Kaboja akiongea na Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (kulia) katika hafla hiyo maalum.

Wadau wakijisevia vinywaji vilivyoandaliwa kwa ajili yao.…

DAN: Nitaweka rekodi mpya Dar Live

Posted by GLOBAL on September 29, 2012 at 11:15amComments 
DNA akionesha ishara ya kupiga saluti baada ya kutua uwanja wa ndege usiku wa kuamkia leo.
Msanii huyo akiwa na uso wa furaha baada ya kufika salama katika ardhi ya Tanzania
Hapa akiwa na mwenyeji wake Luqman Maloto aliyeenda kumpokea katika uwanja huo wa ndege.
Msanii kutoka Kenya, Denis Kagia a.k.a DNA amewasili usiku wa kuamkia leo na kuahidi kuweka rekodi mpya katika Ukumbi wa Taifa wa burudani Dar…

AWAMU YA KWANZA YA TANZANIA LIVE MUSIC FESTIVAL YAFANANA

Posted by GLOBAL on September 29, 2012 at 11:55amComments 
MC wa Tamasha hilo Ben Kinyaiya akiwa jukwaani
Muigizaji Jacqueline Wolper ‘Ilham’ akiwa kwenye pozi na Mzee Kitime
Mtangazaji wa kituo cha Redio One, Salma Dacota mwenye njano akiweka pozi mbele ya kamera huku pembeni akiwa na ‘shostito’ wake
Isha…

RAIS KIKWETE AAGANA NA MABALOZI WA CUBA NA IRAN

Posted by GLOBAL on September 29, 2012 at 12:34pmComment 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Iran nchini Tanzania aliyemaliza muda wake

Mhe Mohsen Movahhedi Ghomi leo Septemba 28, 2012  Ikulu Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Cuba  nchini Tanzania aliyemaliza muda…

kazi ni moja tu kesho... Dar Live

Posted by GLOBAL on September 29, 2012 at 10:32amComment 
Septemba 30, 2012 imeshazungumzwa sana lakini sasa zimebaki saa. Ukweli ni kwamba kesho ndani ya Dar Live, itakuwa kazi moja tu pale miamba ya muziki wa kizazi kipya Afrika Mashariki, itakapokutana kwenye ukumbi huo bora Afrika Mashariki, wenye jukwaa la kupanda na kushuka.
Denis Kagia ‘DNA’ kutoka Kenya, Ibrahim Mussa ‘R.O.M.A’, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’, watalifanya lile jukwaa bora zaidi Afrika Mashariki ndani ya Dar Live, litikisike kwa mizuka ya aina yake, pale kila mmoja atakapokuwa anawasiliana kimuziki na mashabiki wake.
DNA tayari ameshatua Bongo kwa ajili ya kukisanua kesho, wakati Dully yeye wiki nzima amekuwa akieleza kuwa atapiga ngoma zake zote alizotamba nazo tangu kitambo mpaka sasa. Unazungumzia Julieta, Historia ya Kweli, Nyambizi, Handsome, Hi, Hunifahamu,…

MHESHIMIWA MBUNGE WA MBEYA MJINI SASA KUITWA BABA

Posted by GLOBAL on September 29, 2012 at 1:34pmComment 
Sasha-Desderia J. Mbilinyi  ni mtoto wa Mheshimiwa Mbunge wa Mbeya MjiniJOSEPH MBILINYI aka SUGU

ALICHO KIANDIKA DIAMOND KATIKA WEBSITE YAKE KUHUSIANA NA BRITHDAY YA WEMA SEPETU

Posted by GLOBAL on September 29, 2012 at 1:19pmComments 
Mwaka 1990, mwezi na siku kama ya leo Mrs. Abraham Sepetu ama (Mama Sepetu) alipata bahati ya kujifungua mtoto wa kike ambae alimtunuku jina la Wema Abraham Sepetu, Mtoto ambae Nyota yake ilianza kama masihara tu pale aliposhinda taji la Miss Tanzania 2006, kisha baadae kuingia katika Muvie Industry kama utaniutani vile na ghafla kuwa DIVA wa Tasnia hiyo, na licha tu ya udiva pia kuwa ICON wa Tanzania.Siku hii ya leo ya tarehe 28/09/ anazaliwa upya na kutimiza miaka 22.Honestly…

Zamaradi mketema asumbuliwa na mwanaye

Posted by GLOBAL on September 29, 2012 at 10:30amComments 
Na Imelda Mtema
Mtoto wa host wa Kipindi cha Take One kinachorushwa na Televisheni ya Clouds, Zamaradi Mketema amedai kusumbuliwa na mwanaye.
Akizungumza na paparazi wetu juzi Alhamisi, Zamaradi alidai mwanaye huyo aliyempachika jina la Junior, amekuwa akilia punde anapopelekwa kulazwa kitandani na mtu mwingine.
Alisema kuwa hata kama yeye anatoka kwenda kazini, ni lazima ahakikishe mtoto wake amelala naye mwenyewe kwani ndiye aliyemlaza kinyume na hapo ni kilio mpaka mwisho.
“Yaani Junior ananisumbua sana, akianza kulala analia, akienda kulazwa na mtu mwingine tofauti na mimi ni kilio kikubwa, mpaka anione mimi, tena alale ubavuni mwangu ndiyo amani yake,” alisema Zamaradi.
Pamoja na hayo yote, Zamaradi alisema anahisi furaha mtoto wake…

KATUNI ZA LEO...

Posted by GLOBAL on September 29, 2012 at 10:58amComment 
Tebwe
Visa vya chakunogela…

ADVERTISEMENT

YOUTUBE

 
 
 

ADVERTISEMENTS

Ingia katika blog zinazoendeshwa na mwanamuziki John Kitime: www.wanamuzikiwatanzania.blogspot.com
ili upate historia za muziki na wanamuziki wa Tanzania. Pitia pia:www.chekanakitime.blogspot.com
upate vichekesho vya kupasua mbavu!!

ADVERTISEMENT

ADVERTISEMENT


FORUM

MRISHO NGASSA KUPELEKWA SIMBA SC BILA RIDHAA YAKE, JE NI HALALI?

Started by GLOBAL in BurudaniLast reply by Chakachua Sep 15.13 Replies 
Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…
Tags: SOKA

hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Started by Gysper in SiasaLast reply by chinu bahasha Jul 18.22 Replies 
 hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Kauli Ya JK kuwa Mauaji ya Arusha ni "Bahati Mbaya"

Started by Kulikoni Ughaibuni in Siasa.Last reply by JERRY Sep 11.10 Replies 
Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…

HIVI KWELI VIONGOZI WETU WANA UCHUNGU NA WANANCHI WANAOSAFIRI KUPITIA RELI YA KATI?

Started by Sebastian Salatiel Shemhilu inSiasaLast reply by David Wagwene Sep 13.11 Replies 
Leo asubuhi kwenye taarifa ya habari kupitia television ya Taifa niliona kitu cha ajabu,pale nilipoona mpaka watoto wanahojiwa taabu wanayopata kupitia kukwama kwa safari yao kwa njia ya treni kwa mvua zinazoenelea kunyesha sasa,daraja la treni…

Viongozi Tanzania ni WANASIASA ua WAPIGAPOROJO?

Started by Fadhili Hezekiah in SiasaLast reply by mayalilwa Sep 7.38 Replies 
Tanzania hakuna wanasiasa,wote njaa tu na ulevi wa sifa ndo vinawasumbua! mwanasiasa ni mtu wa kuona mbali,sasa wenzangu na mimi wanataka kuingia madarakani au wapo madarakani kwa visera vyao vya miaka mitano mitano,tutafika wapi. Vi-sera vyao…

matokeo ya form 4

Started by saleh mohamed in Habari.Last reply by David Wagwene Sep 13.10 Replies 
hivi mnaonaje wadau kuh matokeo ya form 4?je ni nani wa kulaumiwa kati ya wizara necta au wanafunzi?

BONGO MOVIES SUBTITLES

Started by VICKY WILSON inBurudaniLast reply by David Wagwene Sep 13.14 Replies 
Jamani watanzania wenzangu, katika suala zima la movie zetu za nyumbani subtitles za kingereza imekuwa tatizo sana kiukweli!!!!!! najiuliza inakuwaje movie imeandikwa majina kibao, utakuta producer, cjui editor, script writer, nk. ina maana wote hao…

LATEST ACTIVITY

daudi charles mpondacommented on Chakachua'sphoto
Thumbnail

kIoO cHa JamIi

"imetengenezwa"
1 hour ago
daudi charles mpondacommented on Chakachua'sphoto
Thumbnail

kIoO cHa JamIi

"imetengenezwa"
1 hour ago
POAz2 commented on kali shaban's photo
Thumbnail

Faiza Ally & Kali Shaban

"Bi Faiza, Mzinguwe Baba wa watu kisha Umkimbie!"
1 hour ago
POAz2 commented on kali shaban's photo
Thumbnail

Faiza Ally & Kali Shaban

"mmh Kali msumari huu utakutoa roho!!!"
1 hour ago
Chakachua left a comment forfeith hussein
"u r welcome!"
4 hours ago
kali shaban commented on kali shaban's photo
Thumbnail

Faiza Ally & Kali Shaban

"romantic good times"
7 hours ago
David Wagwene commented onJerry Popo's photo
Thumbnail

ULINZI UPO

"sasa huyo ana maana gani anaiachia afu anaweka ulinzi maana ya kuiachia ni nini kama hataki iliwe…"
12 hours ago
David Wagwene commented onJerry Popo's photo
Thumbnail

SEMA HAPO

"huo mstari wa ikweta mie wantia wazimu eti"
12 hours ago
David Wagwene commented onJerry Popo's photo
Thumbnail

njoo tuvute

"Huyu ukifuatilia historia yake lazima utagundua mzazi wake wa kike alibakwa na sokwe y endio…"
12 hours ago
mayalilwa commented on Jerry Popo's photo
Thumbnail

SEMA HAPO

"Anatamanisha... ana mvuto."
12 hours ago
mayalilwa commented on Jerry Popo's photo
Thumbnail

njoo tuvute

"Hiki ni kithibitisho tosha kuwa kuna baadhi ya binadamu si waaminifu wanazini na wanyama."
12 hours ago
mayalilwa commented on Jerry Popo's photo
Thumbnail

ULINZI UPO

"huyu naye analinda isiliwe au isionwe, anachokoza mwenyewe kisha anaweka ulinzi kama si shari ni…"
12 hours ago
© 2012   Created by Global Publishers.

No comments:

Post a Comment