KAMPUNI YA MATANGAZO YA SYSCORP GROUP YAKUTANA NA WADAU WAKE
Afisa Mtendaji Mkuu wa Syscorp Group, Beatus Kaboja, akiwakaribisha wadau wa masuala ya matangazo ya kibiashara katika hafla maalum aliyowaandalia jana kwenye Makao Makuu ya ofisi yake yaliyopo Regent Estate Mikocheni, jijini Dar es salaam.
Kaboja akiongea na Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (kulia) katika hafla hiyo maalum.
Wadau wakijisevia vinywaji vilivyoandaliwa kwa ajili yao.…
DAN: Nitaweka rekodi mpya Dar Live
Posted by GLOBAL on September 29, 2012 at 11:15am0 Comments 0 Likes
AWAMU YA KWANZA YA TANZANIA LIVE MUSIC FESTIVAL YAFANANA
Posted by GLOBAL on September 29, 2012 at 11:55am2 Comments 0 Likes
kazi ni moja tu kesho... Dar Live
Septemba 30, 2012 imeshazungumzwa sana lakini sasa zimebaki saa. Ukweli ni kwamba kesho ndani ya Dar Live, itakuwa kazi moja tu pale miamba ya muziki wa kizazi kipya Afrika Mashariki, itakapokutana kwenye ukumbi huo bora Afrika Mashariki, wenye jukwaa la kupanda na kushuka.
Denis Kagia ‘DNA’ kutoka Kenya, Ibrahim Mussa ‘R.O.M.A’, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’, watalifanya lile jukwaa bora zaidi Afrika Mashariki ndani ya Dar Live, litikisike kwa mizuka ya aina yake, pale kila mmoja atakapokuwa anawasiliana kimuziki na mashabiki wake.
DNA tayari ameshatua Bongo kwa ajili ya kukisanua kesho, wakati Dully yeye wiki nzima amekuwa akieleza kuwa atapiga ngoma zake zote alizotamba nazo tangu kitambo mpaka sasa. Unazungumzia Julieta, Historia ya Kweli, Nyambizi, Handsome, Hi, Hunifahamu,…

ALICHO KIANDIKA DIAMOND KATIKA WEBSITE YAKE KUHUSIANA NA BRITHDAY YA WEMA SEPETU
Posted by GLOBAL on September 29, 2012 at 1:19pm3 Comments 0 Likes

Zamaradi mketema asumbuliwa na mwanaye
Posted by GLOBAL on September 29, 2012 at 10:30am2 Comments 0 Likes
Na Imelda Mtema
Mtoto wa host wa Kipindi cha Take One kinachorushwa na Televisheni ya Clouds, Zamaradi Mketema amedai kusumbuliwa na mwanaye.
Akizungumza na paparazi wetu juzi Alhamisi, Zamaradi alidai mwanaye huyo aliyempachika jina la Junior, amekuwa akilia punde anapopelekwa kulazwa kitandani na mtu mwingine.
Alisema kuwa hata kama yeye anatoka kwenda kazini, ni lazima ahakikishe mtoto wake amelala naye mwenyewe kwani ndiye aliyemlaza kinyume na hapo ni kilio mpaka mwisho.
“Yaani Junior ananisumbua sana, akianza kulala analia, akienda kulazwa na mtu mwingine tofauti na mimi ni kilio kikubwa, mpaka anione mimi, tena alale ubavuni mwangu ndiyo amani yake,” alisema Zamaradi.
Pamoja na hayo yote, Zamaradi alisema anahisi furaha mtoto wake…

ADVERTISEMENTS
Ingia katika blog zinazoendeshwa na mwanamuziki John Kitime: www.wanamuzikiwatanzania.blogspot.com
ADVERTISEMENT
HADITHI ZA SHIGONGO
TOP MEMBERS WIKI HII
| 1 | GLOBAL |
| 2 | Jerry Popo |
| 3 | julius manning |
| 4 | Ungujaukuu |
| 5 | mayalilwa |
| 6 | David Wagwene |
| 7 | mammy |
| 8 | kali shaban |
| 9 | Shema Idrisa |
| 10 | best werema |
FORUM
Kauli Ya JK kuwa Mauaji ya Arusha ni "Bahati Mbaya"
Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…
HIVI KWELI VIONGOZI WETU WANA UCHUNGU NA WANANCHI WANAOSAFIRI KUPITIA RELI YA KATI?
Started by Sebastian Salatiel Shemhilu inSiasa. Last reply by David Wagwene Sep 13.11 Replies 5 Likes
Leo asubuhi kwenye taarifa ya habari kupitia television ya Taifa niliona kitu cha ajabu,pale nilipoona mpaka watoto wanahojiwa taabu wanayopata kupitia kukwama kwa safari yao kwa njia ya treni kwa mvua zinazoenelea kunyesha sasa,daraja la treni…
Viongozi Tanzania ni WANASIASA ua WAPIGAPOROJO?
Tanzania hakuna wanasiasa,wote njaa tu na ulevi wa sifa ndo vinawasumbua! mwanasiasa ni mtu wa kuona mbali,sasa wenzangu na mimi wanataka kuingia madarakani au wapo madarakani kwa visera vyao vya miaka mitano mitano,tutafika wapi. Vi-sera vyao…
matokeo ya form 4
hivi mnaonaje wadau kuh matokeo ya form 4?je ni nani wa kulaumiwa kati ya wizara necta au wanafunzi?
BONGO MOVIES SUBTITLES
Jamani watanzania wenzangu, katika suala zima la movie zetu za nyumbani subtitles za kingereza imekuwa tatizo sana kiukweli!!!!!! najiuliza inakuwaje movie imeandikwa majina kibao, utakuta producer, cjui editor, script writer, nk. ina maana wote hao…
TOP NEWS WEEK HII
LATEST ACTIVITY
- Top News
- ·
- Everything
David Wagwene commented onJerry Popo's photoULINZI UPO
"sasa huyo ana maana gani anaiachia afu anaweka ulinzi maana ya kuiachia ni nini kama hataki iliwe…"
12 hours ago
David Wagwene commented onJerry Popo's photonjoo tuvute
"Huyu ukifuatilia historia yake lazima utagundua mzazi wake wa kike alibakwa na sokwe y endio…"
12 hours ago
mayalilwa commented on Jerry Popo's photonjoo tuvute
"Hiki ni kithibitisho tosha kuwa kuna baadhi ya binadamu si waaminifu wanazini na wanyama."
12 hours ago
mayalilwa commented on Jerry Popo's photoULINZI UPO
"huyu naye analinda isiliwe au isionwe, anachokoza mwenyewe kisha anaweka ulinzi kama si shari ni…"
12 hours ago
© 2012 Created by Global Publishers.
PLACE YOUR ADVERTISING BANNER HERE. PLEASE CALL: +255 754 290167/ +255 713 839363




































No comments:
Post a Comment