ADVERTISEMENT
WEDNESDAY, OCTOBER 3, 2012
MICHAEL BALLACK; HAKUZALIWA MSHINDI WA KIMATAIFA BALI MSHINDI BINAFSI
. Amepoteza fainali kubwa tano alizocheza
. Wajerumani walimuita mchezaji ‘mlaini’ zaidi
. Katika timu zote alizochezea alikuwa akivaa jezi namba 13 kasoro moja tu Keiserslautern
Kiungo wa zamani wa kimataifa wa Ujerumani, Michael Ballack ameamua kustaafu rasmi kucheza soka baada ya kulitumikia kwa mafanikio makubwa. Ballack ambaye alipata jina kubwa mwaka 2001/ 02 akiwa kiungo kinda ‘mpiganaji’ katika dimba la Bay Arena na klabu yake ya utotoni Bayer 04 Leverkusen na kuoingoza timu hiyo kucheza fainali ya ligi nya mabingwa mwaka 2002 dhidi ya Real Madrid m,waka 2002 na kupoteza kwa kulala kwa mabao 2-1.
Baada ya mafanikio hayo akiwa na klabu, Ballack ambaye ndiye kiungo aliyefunga mabao mengi zaidi katika historia ya timu ya taifa ya nchi hiyo, akiwa amefunga mabao 34 alikwenda katika fainali za kombe la dunia mwaka 2002 huko Korea Kusini na Japan na kufanya mambo makubwa. Alifunga bao katika kila mchezo wa nchini yake wakati ikishinda kwa tabu dhidi ya Marekani bao 1-0 katika robo fainali, kabla ya kufunga tena bao pekee katika ushindi wa nchi yake dhidi ya waliokuwa wenyeji wenza wa michuano hiyo, Korea Kusini katika nusu fainali lakini alikosa mchezo wa fainali dhidi ya Brazil ambao nchi yake ililala kwa mabao 2-0 baada ya kupata kadi mbili mfululizo za manjano katika michezo ya robo na nusu fainali. Akawa amepoteza fainali ya pili kubwa ndani ya miezi miwili lakini ilimfanya kutambulisha kipaji chake kama mmoja ya viungo wapiga ‘freekick’ bora ambao wamewahi kutokea duniani.
Akicheza kando ya viungo wazoefu kama, Jens Jeremies, Stefan Efenberg, Methmet School katika kikosi cha Bayern Munich mara baada ya kujiunga na timu hiyo akitokea Leverkusen, Ballack alikomaa zaidi kimchezo na kuboresha upigaji wa mipira ya vichwa na kutokea mmoja ya wapiga vichwa bora zaidi wa nafasi ya kiungo hapa duniani, akatwaa tuzo ya mchezaji bora wa Ujerumani mara tatu ndani ya miaka minne na kuwa mchezaji ‘babu kubwa’. Mara moja akawa nahodha wa nchi yake akiwa kinda wa miaka 24, huku wachezaji kama Oliver Khan wakiwepo kikosini.
Ballack akaiongoza Ujerumani katika michuano ya Mabingwa wa Mabara mwaka 2005 wakiwa wenyeji na kufungwa tena na Brazil katika fainali kwa mabao 3-2 katika Siku ambayo aliamini anashinda taji la kwanza la kimataifa, baada ya nchi yake kuwa mbele kwa muda mrefu, lakini mabao kutoka kwa Adriano Leite yalizima ndoto zake hizo na kutamka kwa hasira “ Ni bora tusiwe tunaingiza timu yetu uwanjani tunapokuwa tunakutana na Brazil” Ballak aliongea maneno hayo kwa uchungu huku akikata tamaa mbele ya mamilioni wa soka duniani akiwa nahodha wa Ujerumani.
‘ The soft player of German’ kama alivyofahamika mbele ya Wajerumani ambao walikuwa wakiamini japo kiungo huyo alikuwa ni bora lakini alikuwa ni mlaini sana awepo uwanjani na anayekata tamaa mapema. Hakuzaliwa mshindi ndivyo inavyoaminika japo ni mchezaji aliyekuwa na kipaji kikubwa cha kupiga pasi timilifu fupi na ndefu kwa usahihi, alitua Chelsea mara baada ya kushindwa ‘kiabu’ mbele ya Italia katika kombe la dunia mwaka 2006 akiwa nahodha, Ujremani ilifungwa mabao mawili katika dakika za 119 na 120 katika mchezo ulionesha ‘power’ ndogo ya timu hiyo mbele ya Italia, akaishia kuvaa medali ya ushindi wa tatu na kuwa fainali yake ya nne kubwa anapoteza.
Alianza taratibu akiwa Chelsea huku akihesabika mchezaji anayelipwa zaidi katika ligi hiyo sambamba na mwenzake wa timu hiyo Andry Shevchenko ambao kwa pamoja walikuwa wakipata mshahara wa pauni 130, 000 kwa wiki. Ballack alikataa heshima ambayo alipewa na kocha wa Manchester United Sir Alex Ferguson ambaye alimuhitaji sana kiungo huyo wakati anaondoka kama mchezaji huru pale, Munich. Fergie alimuahidi unahodha ‘Myahud’ huyo na mshahara wa pauni 120, 000 kwa wiki lakini Ballack aliichagua Chelsea na kudumu hapo kwa miaka minne huku akishinda mataji matatu ya FA na moja la ligi lakini alipoteza fainali ya Ligi ya Mabingwa Mei 21 jijini, Moscow wakati Chelsea ikilala kwa penati mbele ya United.
Akaenda kuiwakilisha nchi yake akiwa kama nahodha katika michuano ya Euro 2008 na kucheza soka la kiwango cha juu lakini alipoteza mchezo wa fainali mbele ya Hispania kwa Ujerumani kulala 1-0, na wakati akitajwa kama nahodha mtarajiwa atakayenyanyua kombe la dunia mwaka 2010.
Micheal Ballack alivaa medali yake ya mwisho akiwa mchezaji mshindi akiwa na matumaini madogo ya kucheza kombe la dunia mwaka huo kwani katika mchezo wa fainali wa kombe la FA dhidi ya Portsmouth, Ballack aliumizwa vibaya na Kelvin Prince Boateng huo ukawa mwisho wake katika soka la Kimataifa.
Akaenda zake, Leverkusen kumalizia soka lake na kuwa na mafanikio kiasi katika timu hiyo lakini msimu wake wa mwisho haukuwa mzuri na ulikuwa wa mizozo ya mara kwa mara na kocha wake.
Usiku wa jana Micheal Ballack aliamua kutangaza kutundika daruga zake katika soka.
HAYA NDIO MAGOLI 10 YAKE 10 BORA

DAR-PACHA KUISIMAMISHA TANZANIA KWA DAKIKA 90
HISTORIA YA TIMU HIZI
Kuna siku nilikaa na kuzungumza na mmoja wa viongozi wa juu wa bodi ya udhamini ya timu ya soka ya Simba, Mzee Hamis Kilomoni, alinieleza mambo mengi kuhusiana na mpira wa Tanzania tangu zama zile za ukoloni hadi leo hii. Wakati yeye alipok uwa kijana miaka ya 1962 hadi 1978, Mzee Kilimoni alijitambulisha kama mshamauliaji-mfungaji mahiri wakati huo, na katika mchezo wake wa kwanza wa ushindani akafunga mabao manne peke yake katika ushindi wa kusisimua wa Sunderland ( Simba hivi sasa) dhidi ya mahasimu wao wa jadi, Yanga SC mwaka 1962, tena akiwa na miaka 17. Ni rekodi iliyodumu kwa miaka mingi na hakuna uwezekano wa kuvunjwa hata katika mchezo wa kwanza wa mahasimu hao msimu .
Kwani mara baada ya Yanga kuifunga Simba mabao 2-1 , mashabiki wa Simba waliamini mwamuzi, Manyota aliwabeba Yanga kwani hadi dakika 90 zinamalizika Yanga walikuwa nyuma lakini, mwamuzi huyo hakumaliza mchezo hadi alipoona Yanga inasawazisha na kupata bao la ushindi katika dakika ya 98 na kushinda mchezo huo.
Lakini kutokana na soka safi lililooneshwa na timu yao Mashabiki wa Simba wa Dar es Salaam walijitokeza kwa wingi stesheni ya treni kuwapokea wachezaji wao kishujaa kwa kuonesha soka tamu, si hadithi ya kutunga bali hii ni simulizi ambayo nimepewa na mshambuliaji wa zamani wa Simba ambaye sasa ni mmoja wa wajumbe wa juu wa baraza la wadhamini la klabu hiyo, Mzee Hamis Kilomoni.
Wakati msafara wa wapenzi wa Simba ukiwa njiani walikutana na msafara ‘rasmi’ wa Rais, Nyerere ( wakati huo) lakini, Nyerere alishtuka kuona watu wengi barabarani na kumuuliza aliyekuwa, Waziri Mkuu, Mzee Kawawa “ Kuna nini, na hawa ni kina nani?” Mzee Kawawa akamjibu; “ Hao ni mashabiki wa Simba”, Rais Nyerere akataka kujua zaidi, akauliza tena; “ Kwani hao, Simba wamechukua kombe gani?”, jibu alilopewa ni lilimchosha, aliambiwa ;” Hapana, wamefungwa jana na Yanga, uko Mwanza sasa mashabiki wao wamekuja kuwapokea baada ya kusemekana refarii aliwapendelea Yanga” maelezo hayo yakamchanganya, Rais Nyerere na akamuagiza, Mzee Kawawa kutazama upya kuhusiana na chaguzi za vilabu vya mpira na michezo mingine zisimamiwe na serikali kwani kama wasipofanya hivyo kuna siku kiongozi wa Simba au Yanga anaweza kuchaguliwa kuwa raisi wa nchi kutokana na idadi kubwa ya ,mashabiki ambayo aliiona siku hiyo. Rais kwa heshima akaamuru msafara wake usimame na kuupisha msafara wa kikosi cha Simba na mashabiki wao upite kwanza.
MBINU ZA KIMCHEZO
Kuelekea mchezo wa mahasimu wa soka nchini, Simba na Yanga jumatano ya leo, vinara wa ligi kuu wamekuwa na matokeo ya ushindi wa asilimia 100, wakishinda michezo yote minne ya mwanzo, Simba imeweza kuzifunga timu za African Lyon, JKT Ruvu,
Ruvu Shootting na Tanzania Prisons na ushindi wote huo waliupata katika uwanja wa Taifa. Wakati wapinzani wao wakicheza michezo miwili nje ya jiji la Dar es Salaam na kushindwa kufunga bao lolote, Simba imeonesha uwezo mzuri wa kufunga mabao, kwani wameshafunga mabao tisa katika michezo minne, huku safu ya ulinzi ikionekana kuimarika kiasi imeruhusu mabao mawili tu, lakini kukutana na timu kama Yanga yenye wafungaji mahiri kama Hamis Kizza,
Simba inafahamika kwa aina yake ya mchezo wa kupasiana pasi za haraka haraka na kuna wakati hupigiana pasi za taratibu pale wanapokuwa wanatafuta mbinu za kuupoozesha mchezo. Yanga wao wana desturi ama tabia moja tu kwamba wao mpira ni matokeo kwanza huwa hawajali sana kupigiana pasi hasa wanapokuwa na matokeo-hasi mchezoni, aina ya wachezaji wanaoingia na kutoka katika klabu hiyo ni wale wale na daima mchezo wao mkubwa ni kutumia maeneo ya pembeni mwa uwanja, hasa ikiwatumia mawinga na mabeki wake wa pembeni. Kwa ujumla mchezo huu ni sawa na ule ambao huzikutanisha timu hasimu za Hispania, Barcelona na Real Madrid, Simba wanatabia za mchezo zinazoendana na Barca na Yanga wao wana kadesturi kama Real Madrid.
UBORA/ UDHAIFU
Simba wapo vizuri sana katika safu ya mashamublizi kwani tayari wamefunga mabao tisa katika michezo minne waliyocheza hadi sasa. Yanga wao wanaingia katika raundi ya tano kuwakabili mahasimu wao huku tayari wakiwa wameruhusu nyavu zao kutikiswa mara tano, ni mchezo mmoja tu ambao hawajaruhusu bao. Kwa upande wa fowadi hata Yanga wanaonekana kuwa na maendeleo mazuri kwani baada ya kucheza michezo miwili bila kufunga wameweza kufunga mabao saba katika michezo miwili iliyopita, lakini bado timu haina uwezo mkubwa wa kutengeneza nafasi za kufunga mabao. Wakati viungo wa Simba wakiwa na udhaifu mkubwa katika kuzuia wale wa Yanga wanaoneka kuimarika zaidi katika hilo lakini bado wana tatizo la kuisukuma timu yao mbele.
Katika mabao saba ya Yanga, beki Nadir Haroob amefunga mabao mawili, kiungo, Nizar pia amefunga mara tatu huku washambuliaji wakiwa wamefunga mabao matatu tu, Simon Msuva na Didier Kavumbagu ambaye amefunga mabao mawili. Tofauti kidogo na Simba, wao tayari wameonekana kutengeza nafasi na kuzitumia vizuri, washambuliaji kama Daniel Akkufor ambaye amefunga mara mbili kwa penati, Haruna Moshi, Abdalah Juma, Felix Sunzu na kinda Edward Christopher wakiwa tayari wamefunga ni ishara nzuri kuwa wana uwezo wa kufunga mabao, lakini nao wanakabiliwa na mtihani mkubwa wa kwanza kwa kuwazuia ama Said Bahanunzi, Kavumbagu, Hamis Kizza, Jerry Tegete ama Msuva ambao wanahitaji kuthibitisha thamani yao.
Wakati Simba wakionekana bora katika kutengeneza nafasi Yanga wao wanaonekana bora katika kuziba mianya ya wapinzani kupitisha mipira kutokea katikati ya uwanja. Wanahitaji kuona Oscar Joshua akibaki katika kiwangoi chake cha kila siku ili kumzima, Mrisho Ngassa aliyepania kucheza ili kuthibitisha kuwa yeye mpira kwake ni kazi. Tatizo lingene kubwa kwa kila timu ni kushindwa kucheza mipira ya juu, japo Simba imekuwa ikisaidiwa na uzoefu wa kipa wao, Juma Kaseja, Yanga wanaonekana watapata shida kama Yaw Berko hatokuwa fiti, mana Ally Mustafa si mzuri sana katika kucheza mipira hiyo na alionesha udhaifu kubwa wakati alipofungwa mabao matatu na Mtibwa Sugar wiki mbili zilizopita.
Hata kwa upande wa mabeki, timu zote hazina walinzi wazuri wa mipira ya juu na uwepo wa washambuliaji wanaoweza kutumia mipira hiyo kama, Sunzu, Juma kwa upande wa Simba au Kavumbago na Tegete kwa upande wa Yanga inaweza kusababisha kupatikana walau bao moja ama mawili ya vichwa katika mchezo huo, japo inategemea zaidi na namna kila timu itakavyokuwa imejipanga kimbinu.
Simba tayari wanafunga na Yanga wanaanza kuyatafuta mabao yao, lakini kwa mechi kama hii ni lazima kila mmoja acheze ili kuthibitisha ubora wake na hapa ndipo mabao yatakapopatikana. Difensi ya Simba inaonekana iko vizuri, lakini kiukweli si imara kama inavyoonekana, kama Yanga wataingia kwa kutambua udhaifu wa wapinzani wao bila shaka tatizo kubwa la kwanza kwa Simba linaweza kuwa wao wenyewe.
Kwa nini nasema hivyo? Nimemtaza Juma Nyosso katika michezo miwili dhidi ya Azam FC, ule wa Kagame Cup na ule wa Ngao ya Jamii, ukweli bado hajabadilika na wala hana heshima katika michezo mikubwa. Anacheza rafu nyingi na hata pale mpira unapokuwa nje ya eneo lao la hatari yeye huonekana kumchezea ‘ubabe’ mpinzani kitu ambacho kinaweza kuigharimu timu yake, ni wakati wa Simba kumueleza kuhusiana na uchezaji wake huo kwani anaweza kutoa kadi nyekundu kwa sababu hivi sasa washambuliaji wa Yanga wakiguswa tu hujiangusha.
WASEMAVYO MAKOCHA KUELEKEA MCHEZO HUU
Kocha mkuu wa Simba, Milovan Cirkovic yeye aliweza kuibadilisha timu iliyokuwa inapoteza makali chini ya kocha aliyepita, na kutengeneza uwiano mzuri wa wachezaji vijana na wale wakongwe wenye uwezo. Ameifanya Simba kuwa timu inayocheza sana soka la kuvutia japo bado timu yake inakabiliwa na matatizo kadhaa ya kiufundi na mbinu. Katika ngome bado kuna matatizo makubwa na yanaweza kuwaingiza katika majaribu ya kupoteza mchezo kama umakini wa ngome yake hautakuwa umeongezeka. Katika michezo minne iliyopita wameshinda michezo yote na kuwa juu ya msimamo, lakini hata pale walikutana na Paul Ndauka wa Ruvu Shooting aliweza kuwatia presha mashabiki wao, lakini ni kocha anayejua nini anatakiwa kufanya kulingana na aina ya mashindano au aina ya mchezo unaokuwa unaikabili timu yake, alibaki jijini ili kuishuhudia Yanga ikicheza na African Lyon jumapili iliyopita na alisema hivi; “ Yanga si timu ngeni kwangu, lakini si vibaya kuitazama tena ili kuona mambo muhimu. Kama kocha najua nahitaji nini kwa mchezo mkubwa kama huo’ alisema, Milovan
Kwa upande wa timu ya Yanga inaweza kuwa na kocha wake mkuu, Ernest Brandts katika benchi lake la ufundi endapo watakamilisha taratibu za upatikanaji wa kibali cha kufanyia kazi cha kocha huyo kutoka Uholanzi, vinginevyo itabidi irudie yale yaliyotokea Mei 6 mwaka huu kwa kocha msaidizi Fred Felix Minziro kukaimu nafasi ya ukocha mkuu katika mchezo huo. Brandts ambaye alikuwa kocha wa APR ya Rwanda si mgeni dhidi ya Simba na mara kadhaa ameweza kuifunga akiwa kocha wa timu yake ya zamani ya APR.
Yeye amedai amekiona kikosi cha Yanga wakati wakicheza na Lyon na kukisifia kwa kusema ni timu nzuri lakini zaidi ameomba muda wa kukaa zaidi na timu hiyo ili kutoa kile alichonacho; “ Kwa sasa siwezi kuahidi chochote kuhusiana na mchezo dhidi ya Simba. Lakini ninaimani Yanga ina kikosi kizuri na itafanya vizuri katika mchezo huo. Ugumu?.... Nadhani kila mmoja anatambua ugumu unakuwepo katika michezo mikubwa kama hii, huwa si rahisi kutabirika’ alisema, Brandts
DONDOO ,MUHIMU
Shomari Kapombe anategemewa sana na mchezo wake ni maridadi sana, anachukuliwa kama mchezaji mwenye kujituma zaidi ndani ya timu hiyo, lakini uwepo wa Amri Kiemba katika nafasi ya kiungo-mlinzi inaweza kumuongea ‘CV’ katika mchezo huo kama Kiemba ataendelea kucheza katika mchezo wake aliouonesha tayari katika michezo iliyopita.
Edward Christopher huyu ni mshambuliaji-mfungaji hatari zaidi anayecheza ligi kuu ya Tanzania Bara , anahitaji michezo mikubwa kama hii ili kujijenga zaidi na kuthibisha ili ninalolisema. Kama atakuwepo uwanjani kwa walau dakika 20 anaweza kufunga bao ama mabao, kila nafasi anayoipata huwa ni hazina kwake na tayari amefunga bao moja katika dakika chache alizocheza.
Sunzu yeye amecheza michezo miwili na kufunga mabao mawili, mpigaji mahiri wa mipira ya vichwa katika ligi ya Bara, tangu aje Tanzania ameweza kuifunga Yanga mara mbili katika michezo mitatu aliyocheza dhidi yao, ANAWEZA KUFUNGA BAO LA KICHWA KAMA ATAKUWA FITI KWANI Yanga hawana uwezo wa kuiondosha mipira ya juu.
Said Bahanunzi bado hajafunga bao lolote lakini mchezo huu unaweza kumrudisha juu kama atatuliza akili yake, maana uwezo mkubwa wa kucheza kama mshambuliaji huru na pia ana uwezo wa kugeuka na kukimbia na mipira na kwenda kufunga.
Haruna Niyonzima anatarajiwa kuonesha uwezo wake lakini kung’ara si kitu kigumu kwake, jibu la Yanga kwa Simba wanayejivunia Haruna Moshi, Niyonzima bado hajaonesha kiwango cha juu msimu huu na hajatengeneza nafasi yoyote ile ya bao lakini siku zote michezo mikubwa ipo kwa ajili ya wachezaji wakubwa na Niyonzima ni miongoni mwa wachezaji wa hadhi ya juu.
Athuman Idd hata kocha, Brandts anadhani ni mchezaji bora zaidi ndani ya timu yake, Chuji anapenda soka, anapenda kucheza michezo mikubwa kama hii na anapenda ushindi, popote atakapokuwepo Mwinyi Kazimoto, bila shaka Chuji atakuwepo na hapo ndipo tutakaposhuhudia soka la viungo wawili bora wa timu ya taifa ya Tanzania wakionesha dunia namna tulivobarikiwa kuwa na vipaji.
Mfungaji aliyewahi kufunga mabao mengi katika mchezo mmoja wa mahasimu hao ni Hamis Kilomoni; Alifunga mabao manne mwaka 1964 wakati huo Simba ikifahamika kama Sunderland wakati ikiifunga Yanga mabao 4-0
Jerry Tegete ndiye mchezaji wa mwisho wa Yanga kufunga mabao mawili katika mchezo wa mahasimu hao, alifunga mwaka 2010 mwezi April wakati, Yanga ikilala mabao 4-3
Simba imekuwa na historia ya kuifunga Yanga mabao mengi kwa kila kipindi cha Rais anayeingia madarakani; Iliwahi kuifunga Yanga mabao 6-0 wakati huo Baba wa Taifa, hayatio JK Nyerere akiwa Rais wa Tanzania, pia iliifunga Yanga mabao manne katika kipindi cha Rais wa awamu ya pili ALLY Hassan Mwinyi, kisha wakaifunga mabao 4-1 wakati wa Rais Benjamini Mkapa na tayari Yanga imefungwa mabao 5-0 katika kipindi hiki cha Rais, JK Kikwete.
Abdalah Kibadeni ndiye mchezaji wa mwisho wa timu hizo kufunga hat-trick katika mchezo wa mahasimu hao, alifunga wakati Simba ikiifunga Yanga mabao 6-0
Katika kipindi cha miaka kumi sasa hakuna bao la kujifunga ambalo limepatikana katika mchezo wa mahasimu hao
TUESDAY, OCTOBER 2, 2012
SERGIO RAMOS: "KWANINI NILIVAA JEZI YA MESUT OZIL KATIKA MECHI DHIDI YA DEPORTIVO LA CORUNAO"
Mchezaji wa Real Madrid Sergio Ramos amesema leo Jumanne kwamba alivaa jezi ya mchezaji wa mwenzake wa klabu hiyo Mesut Ozil ndani ya jezi yake ili kujiletea bahati katika mechi ya ushindi wa 5-1 dhidi ya Deportivo La Coruna.
"Ningependa kuweka wazi suala hili na kufanunua vitu kadhaa kabla uongo zaidi haujaenezwa na huku watu wakizidi kuutunga. Mesut ni rafiki yangu mzuri sana na nilimwambia kwamba goli langu la kwanza la msimu nikifunga litakuwa kwa ajili yake." Ramos alisema kupitia akaunti yake ya mtandao wa Twitter. "Nilikuwa kuvaa jezi yake kwa ndani huku nikijiamini inaweza ikawa mechi ambayo nitafunga bao langu la kwanza , na sio vinginevyo vyovyote vile."
Real Madrid coach Jose Mourinho leo alimuweka Ramos katika listi ya wachezaji wanaosafiri na timu kuelekea Amsterdam kwa ajili ya mechi ya champions league dhidi ya Ajax kesho Jumatano.
Katika kuzungumzia taarifa kwamba ana bifu na kocha wake na alivaa jezi ya Ozil ili kumkera Mourinho aliyemtoa Ozil katika mechi ya Deportivo, Ramos alisema: " Nina mahusiano sana na kocha wangu,, yenye uwazi na ukweli," Alitweet mhispania huyo. " Naheshimu maamuzi yake na kwangu mimi yeye ndio kocha bora duniani. Go Madrid."Ramos again insisted he has no beef with his coach.
Mourinho alimpiga benchi Ramos katika mechi ya kwanza ya Champions league ya Madrid dhidi ya Manchester City mapema mwezi uliopita, hali iliyopeleka wengi kuamini wawili hao hawpo kwenye mahusiano mazuri.

TFF YAZINDUA RASMI MCHEZO WA SOKA LA UFUKWENI NCHINI TANZANIA.
Shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF kwa kushirikiana na Kampuni ya Primetime promotions,wameuzindua rasmi mchezo wa soka la ufukweni nchini Tanzania, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Katibu mkuu wa TFF bwana Angetileh Oseah ,amesema Rais wa TFF bwana LEODGER TENGA yupo mbioni kuunda kamati itakayousimamia mchezo huo huku kamati yak utendaji ya TFF ikiwa tayari imeubariki mchezo huo.
Naye Mratibu wa mchezo huo kutoka Kampuni ya Primetime Promotions Bwana SHAFFIH DAUDA, amesema mchezo huo unataraji kuzinduliwa rasmi mnamo mwezi desemba mwaka huu kwenye fukwe za coco beach jijini Dar Es Salaam.
Kabla ya kuanza kwa michuano hiyo yenye mashabiki wengi kwa sasa duniani kote,bwana Dauda amesema TFF kwa kushirikiana na FIFA wanataraji kuendesha kozi maalum kwa ajili ya makocha na wamuzi wa mchezo huo hapa nchini.
Baada ya mafunzo hayo,ndipo mchezo huo utazinduliwa rasmi mwezi wa kumi na mbili. Kwasasa mchezo huu wa soka la ufukweni unachezwa kwenye zaidi ya nchi 170 duniani kote na tayari umeshajizolea mashabiki wengi kutokana na kushirikisha watu wa rika mbalimbali wakiwemo wapenzi wa soka la kawaida,wanasoka wa zamani pamoja na vijana.
Katibu Mkuu wa TFF Bwana Angetileh Oseah akizungumza na waandishi wa habari juu ya uzinduzi wa mchezo wa soka la ufukweni ( Beach Soccer ), kulia kwake ni msemaji wa TFF Bwana Boniface Wambura pamoja na mratibu wa mchezo huo kutoka kampuni ya Primetime Promotions Bwana Shaffih Dauda.
Kulia ni Bwana Shaffih Dauda akiwaeleza waandishi wa habari mkakati wa kampuni ya Primetime Promotions ambao ndio waratibu wa mchezo huo hapa nchini.
Hii ni sehemu ya waandishi wa habari waliokuepo kwenye uzinduzi huo.

TAKWIMU ZA LIGI KUU: SIMBA INATISHA KWA KUTUPIA NYAVUNI, POLISI MORO, AZAM, SIMBA NA OLJORO UKUTA MGUMU
Licha ya kushika nafasi ya pili kutoka mkiani ikiwa na pointi mbili tuu baada ya kufungwa mechi mbili na kutoka sare mechi mbili. Timu ya Polisi Moro ni moja ya timu zenye ukuta mgumu zaidi VPL ikiungana na JKT Oljoro, Simba na Azam FC ambazo kwa pamoja zimeruhusu magoli mawili tuu kutinga kwenye nyavu zao.
Azam FC ndiyo timu pekee ambayo imeruhusu magoli kuingia kwenye mechi moja tuu baada ya kukubali kutoka sare 2-2 na Toto Afrika jijini Mwanza huku ikiwa imeondoka bila kuruhusu nyavu zake kutikiswa kwenye mechi tatu za ligi kuu.
Hadi kufikia raundi ya nne, Simba SC ndiyo timu pekee ambayo haijapoteza pointi hata moja baada ya kucheza michezo minne na kushinda yote.
Polisi Moro imejiwekea rekodi nyingine kwenye VPL raundi ya nne baada ya kuwa timu pekee iliyocheza mechi nne bila kufunga goli hata moja.
Hadi kufikia raundi ya nne ya ligi kuu ya Vodacom, kuna vilabu vinne tu ambavyo havijaruhusu kupoteza mchezo hata mmoja hadi sasa, vilabu hivyo ni Toto Africa, JKT Oljoro, Coastal Union, Simba SC na Azam FC.
Klabu cha JKT Ruvu Stars ndicho kilichoruhusu magoli mengi zaidi ya kufungwa kikiwa kimefungwa magoli 10 hadi sasa kikifuatiwa na nduvu zao wa Ruvu Shooting Stars walioruhusu magoli nane kama ilivyo kwa wapiganaji wa African Lyon.
Kwa upande wa magoli ya kufunga klabu ya Simba SC ndiyo inayoongoza ikiwa na magoli tisa na kufuatiwa na Azam FC na Yanga zenye magoli saba huku vilabu vya Ruvu Shooting Stars na Mtibwa Sugar vikiwa vimetikisa nyavu mara sita kila kimoja.
Wachezaji Kipre Tchetche wa Azam FC na Husein Javu wa Mtibwa na Nizar Khalfan ndiyo wanaoongoza kufunga magoli kwenye ligi kuu wakiwa na magoli matatu kila mmoja hadi hivi sasa.

EXCLUSIVE: HIVI NDIVYO JUKWAA LA FIESTA LITAKAVYOKUWA JUMAMOSI LEADERS
ZLATAN IBRAHIMOVIC - LIONEL MESSI HASTAHILI KUSHINDA TUZO YA UCHEZAJI BORA WA DUNIA
Lionel Messi hastahili kushinda tuzo ya mwanasoka bora wa dunia mwaka huu kwa sababu msimu uliopita ameshinda kikombe kimoja tu kidogo, mchezaji mwenzake wa zamani wa Barcelona Zlatan Ibrahimovic amesema leo Jumanne.
"Messi amekuwa na msimu mzuri binafsi lakini hajashinda kitu chochote kikubwa na tayari ameshashinda Ballon d'Or mara 3," Mshambuliaji wa Pars Saint Germain Ibrahimovic, ambaye alicheza na Messi katika msimu wa 2009/10, aliiambia Eurosport jumanne hii.
"Inategemea aidha unampa mtu zawadi kwa kazi yake binafsi ay yenye mkusanyiko. Xavi bado anacheza katika kiwango cha juu, Iniesta pia alikuwa na msimu mzuri, wameshinda Euro wakati Messi ameshinda kikombe kidogo cha mfalme . Messi ameshahsinda Ballon D'Or mara 3 nafikiri msimu huu hastahili na muda huu nafikiri ni sahihi akishinda mtu mwingine."
Tuzo ya Ballon d'Or itatolewa mwezi January tarehe 7 mwakani.

KAULI YA LEO: FERGUSON NDIO BOSI WA MAKOCHA WOTE - ASEMA JOSE MOURINHO
"Kitu kizuri kuhusu kuwepo pale (kwenye Premier league) ni kufundisha, kwa sababu nafikiri soka itapoteza vitu vingi sana mara Sir Alex Ferguson atakapoacha kufundisha na hakuna makocha wengi vijana wala wazee. Kwangu mimi, Fergie ndio boss. Namuita Sir Alex bosi kwa sababu ndio bosi wa makocha wote na ninatumaini kwamba nitakapoenda tena kwenye soka la England atakuwa bado anaifundisha Manchester United."
Jose Mourinho, jana akimwelezea Sir Alex Ferguson wakati akihojiwa na CNN.
Jose Mourinho, jana akimwelezea Sir Alex Ferguson wakati akihojiwa na CNN.
TIHANA NEMCIC - MSICHANA WA MIAKA MIAKA 24 ANAYEFUNDISHA TIMU YA SOKA YA WANAUME CROATIA
Tihana Nemcic anataka kuheshimiwa kama ilivyo kwa kocha yoyote mkuu kwenye timu ya soka.
Kocha huyo msichana mwenye miaka 24, mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya wanawake na huku akiwa mwanamitindo, anaonekana sasa kupendwa sana na vyombo vya habari, kwasababu ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya wanaume ya nchi hiyo inayoshiriki ligi ya daraja la 5 NK Viktorija Vojakovac.
Nemcic, alimaliza masomo yake ya ukocha katika chuo kikuu cha michezo cha nchi hiyo na tangu amechukua majukumu ya kuifundisha klabu ya wanaume amekuwa akisisitiza awe anaheshimiwa na kuonekana kama makocha wengine wanaume hivyo aachwe afanye kazi yake vizuri.
"Mimi ndio kocha mkuu na nina mamlaka yote kutengeneza na kupanga mipango yote ya ufundi wa timu," Nemcic alisema. "Kama mwanamke na mwanaume wote na wana sifa sawa katika kazi ya ukocha, sioni tatizo lolote kwanini nisiingie kwenye soka la wanaume."
Timu yake kwa sasa inashika nafasi ya 8 katika ya timu 16 za ligi, akiwa na pointi 4, baada ya kushinda mechi moja, kufungwa moja na kutoa suluhu moja..
Tihomir Jagusic, mmoja wa wachezaji bora wa klabu hiyo, anamuelezea Nemcic kama kocha mzuri sana, mwenye mipango thabiti na mtu makini sana katika kufuatiliwa mazoezi ya timu yake.
Nemcic alianza kupenda sana mchezo wa soka wakati alipokuwa akimfuata mpenzi wake mazoezini.
"Nilikuwa naenda kumuangalia anavyocheza, jinsi alivyocheza . . . . . na hapo ndipo na mimi nilipoanza kucheza mwenyewe na soka ikaniingia na kuwa sehemu ya maisha yangu," anasema msichana huyo. "Hii ni changamoto kubwa kwangu. Nimekuwa nikipata uzoefu kufundisha watoto lakini kufundisha timu ya wanaume bado ni changamoto kubwa."
![]() |
| Nemcic alipokuwa akiichezea Croatia. |
"Unapokuwa mchezaji, unakuwa unajifikiria wewe na kiwango chako tu binafsi," anasema.
"Sasa, nikiwa kocha, natakiwa kuanza kufikiria kuhusu wachezaji zaidi. Lakini kazi zote ni sawa. Zote zina kupanda na kushuka."
"Tuna sheria," anasema. "Wachezaji wangu wanapoenda kubadilishia nguo, mie huwa nasubiri nje, wanapomaliza mmoja anatoka na kuja kuniita niingie ndani. Sitoweza kujiweka kwenye hali ya kuweza kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo niwakute wakiwa hawapo vizuri kimavazi

No comments:
Post a Comment