Karikoo kumetulia: Picha zaidi za matukio
| Moja ya gari lililowabeba baadhi ya askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzani wakifanya doria |
Hali katika eneo la Karikoo imetulia kwa sasa na baadhi ya shughuli zimeanza kurejea japo bado baadhi ya raia wana hofu kuhusu mambo yatakavyoendelea.
Kwa ujumla mchana wa leo hali ilikuwa tete baada ya baadhi waislam kujipanga kutaka kuandamana baada ya matangazo katika baadhi ya misikiti baada ya swala ya ijumaa kuwataka waumini hao kufanya hivyo.
| Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ wakiwa tayari kwa kaz |
No comments:
Post a Comment