Leo kuna Mchezo mmoja wa ligi kuu ya VODACOM Tanzania Bara, mchezo huo unapigwa kwenye dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza kati ya Toto Africans na Yanga.
Blog yako inakupatia baadhi ya matukio live ya mchezo huo.
Dk 36: yanga inaongoza kwa mabao 2-0 yaliyofungwa na mshambuliaji Didier Kavumbagu pamoja na beki Mbuyu Twite.
Dk : 40 Toto wanakosa bao baada ya shuti kali kupaa kidogo juu ya lango.
Dk : 42 Toto wanapata penalti
Dk : 43 Toto wanakosa penalti,Emanuel Swita amepiga nje kulia mwa golikipa Yew Berko
Dk : 45 zimeongezwa dk 2 za nyongeza.
MPIRA NI MAPUMZIKO
TOTO 0:2 YANGA.
Kipindi cha pili kimeanza.
Dk 46: yanga walipata kona iliyopigwa na Haruna Niyonzima lakini haikuzaa matunda.
Dk 50: Toto wanafanya mabadiliko anaingia Mohamed Chingo badala ya Haruna Athumani
Dk 52: Toto wamepata kona wakaipoteza,\
Dk 54: gooooooooooooooooooooooooooooooooo! Toto Africans wanapata bao,Mussa Said ndiye aliyeifungia Toto bao baada ya mabeki wa Yanga kushindwa kuelewana
No comments:
Post a Comment