Saturday, October 13, 2012


CHECK OUT: WASIOFAHAMIKA NDANI YA USIKU WA SO SO FRESH

Naweza kusema kwamba kama wewe ni mpenzi wa show nzuri kali inayofanya vizuri siku ya ijumaa usiku katika radio ya clouds fm namzungumzia So So Fresh.Basi wiki hii tulikuwa na wageni wanaokwenda kwa jina laWasiofahamika ndiyo dzain walikuwa wanahusika na michano pale kati daaahhh!!!!!! yaani usipime kwani vijana walikuwa wamejipangaaa mbaya katika show interview yao pamoja na vitu vingine.Bila kusahau watangazaji wa show hiyo ni  C.E.O Soudy Brown kutoka makorokocho,Antu Mandoza pamoja na Dommy Survival ndiyo dzain walikuwa wanahusika na maswali mawili matatu kwa niaba ya mtu mzima Ncha kali.
                                         Crew inayokwenda kwa jina la Wasiofahamika 
   Sasa ile time ya Antu Mandoza kuonyesha kwamba na yeye anaweza ku freestyle ndiyo hiyo hapo daaaah!!!!! alitisha mbaya big up to her kwasababu ni moja kati ya  ma radio presenter wachache sana wanaojua ku freestyle na ku battle lakini Antu akuweza kubaki nyuma yeye alionyesha moyo wa ujasiri katika show ya So So Fresh.
                                                                Host Dommy Survival
Sasa hii ndiyo Team nzima ya jana ndiyo iliyokufanya usilale kwasababu ya Ladha zao kali za Hip Hop na hapo chini ndiyo zile freestlye zao ulizokuwa ukizisikia kupitia radio sasa huu ni wakati wako wa kuangalia jinsi walivyokuwa wakifanya ya kwao ebu click hapoo.

               

No comments:

Post a Comment