NU VIDEO:ACE HOOD FT TREY SONGZ "NEED YOUR LOVE"
Naweza kusema kwamba imefika ile time sasa ya kuona kile ambacho tulikuwa tuna kisubiri kwa muda mrefu maana unakuta kuna time mtu yaani anasema daaahh!!!! nasubiri tu video kwa sababu audio nimechoka kila siku kuisikia sasa basi ebu fanya kama una click hapoo uone jinsi mtu mzima Ace hood na Trey songz walivyofanya yao katika kichupa hiki.

No comments:
Post a Comment