ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT
G5 CLICK WORLD
ZILIZO TOP WIKI HII
3. ALICHO KIANDIKA DIAMOND KATIKA WEBSITE YAKE KUHUSIANA NA BRITHDAY YA WEMA SEPETU
Added by GLOBAL on September 29, 2012
TOP PHOTOS ZA WIKI
BIRTHDAYS
HAKI NGOWI
GROUPS
VIDEOS
NEWS POSTS
TWFA YATANGAZA KIPINDI CHA PINGAMIZI
Posted by GLOBAL on October 3, 2012 at 1:11pm0 Comments 0 Likes
Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha Mpira wa Miguu cha Wanawake (TWFA) imetangaza kipindi cha pingamizi kwa waombaji uongozi katika uchaguzi wa chama hicho utakaofanyika mwezi ujao.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati hiyo Ombeni Zavala, kipindi cha pingamizi ni kuanzia Oktoba 5 hadi 9 mwaka huu, na pingamizi ziwasilishwe ofisi za TWFA. Mwisho wa kupokea pingamizi ni saa 10 kamili jioni, na hakuna ada kwa ajili ya pingamizi.
Pia amesema usaili kwa wagombea utafanyika…
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati hiyo Ombeni Zavala, kipindi cha pingamizi ni kuanzia Oktoba 5 hadi 9 mwaka huu, na pingamizi ziwasilishwe ofisi za TWFA. Mwisho wa kupokea pingamizi ni saa 10 kamili jioni, na hakuna ada kwa ajili ya pingamizi.
Pia amesema usaili kwa wagombea utafanyika…

USIKU WA KUMKUMBUKA OMARY KOPA KUFANYIKA LEO DAR LIVE
Posted by GLOBAL on October 3, 2012 at 11:30am0 Comments 0 Likes
‘MAISHA PLUS’, ‘MAMA SHUJAA WA CHAKULA’ YAZINDULIWA NA WAZIRI MALIMA
Posted by GLOBAL on October 3, 2012 at 11:34am0 Comments 0 Likes
MCHEZO WA MASUMBWI, TAA INAYOZIZIMA – SEHEMU YA SABA
Posted by GLOBAL on October 3, 2012 at 11:11am0 Comments 0 Likes
■UKO HATARINI KUPOTEZA ASILI YAKE KABISA
Na Onesmo Ngowi
Masumbwi au kwa majina mwengine ndondi au ngumi na kwa majina ya mitaani ndogwa, mawe n.k. ni mchezo unapoendwa sana na watu wengi. Aidha mchezo huu ni kati ya michezo inayoogopwa sana duniani. Mchezo wa ngumi uko hatarini kupoteza maana yake ya asili yaani kucheza kama burudani, kuwakilisha nchi na kujenga ushupavu wa mchezaji. Mamilioni ya watu wanaojazana kuutazama wasingependa kabisa kujiingiza kuucheza mchezo wa ngumi. Sasa endelea...
Ni katika miaka ya 40 hadi 70 ambapo mchezo wa ngumi ulivuma sana kwa kutoa mabondia…

MASKINI MAMA DIAMOND
SOMA HABARI YA MAMA DIAMOND HAPAPATA HABARI MOTOMOTO ZA MICHEZO HAPA
Posted by GLOBAL on October 3, 2012 at 9:19am0 Comments 0 Likes
SOMA HABARI HIZI KWA KUBOFYA HAPAAUNT HAKOMI!
Posted by GLOBAL on October 3, 2012 at 9:30am7 Comments 0 Likes
AMINA MOLLEL AANGUA KILIO
Posted by GLOBAL on October 3, 2012 at 9:30am4 Comments 0 Likes

Imelda Mtema, Dar es SalaamMTANGAZAJI maarufu Bongo anayepiga mzigo katika Runinga ya TBC 1, Amina Mollel (pichani), ameangua kilio cha furaha katika sherehe yake ya kufundwa maarufu zaidi kwa jina la Kitchen Party, ikiwa ni maandalizi ya ndoa yake.
Tukio hilo limetokea katikati ya wiki iliyopita katika Ukumbi wa Next Door, Tabata jijini Dar es Salaam ambapo ilihudhuriwa na watu wengi maarufu na…

KOLETA AMSHUKIA RICHIE
Posted by GLOBAL on October 3, 2012 at 10:00am3 Comments 0 Likes
Na Gladness Mallya, Dar es SalaamMSANII wa filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ ameibuka na kutoa maneno mazito dhidi ya msanii mwenzake Single Mtambalike ‘Richie’, ambaye aliwahi kumshushia kipondo siku za nyuma.
Akizungumza na Tollywood Newz, Koleta alisema Richie anapaswa kujiangalia upya na kuishi kama binadamu anayejitambua badala ya kutumia mabavu na kuwadunda wenzake. Kwa sasa ana msala wa kumpiga mpigapicha wa TBC 1, Moses ....
“Hata jamii sasa naamini itakuwa inajua kwamba Richie ni mtu wa aina gani. Alinipiga mimi bila kosa, akanitoa damu, tukapatanishwa yakaisha, sasa ona juzi amemdunda tena Moses, maisha gani hayo? Richie anahitaji kubadilika,” alisema




































No comments:
Post a Comment