Wednesday, October 3, 2012



UPDATES MECHI YA SIMBA NA YANGA: MECHI IMEISHA; SIMBA 1, YANGA 1

Posted by GLOBAL on October 3, 2012 at 7:00pmComments 
Dakika ya 4 ya kipindi cha kwanza: Amri Kiemba anaipatia Simba SC bao la kwanza baada ya kuunganisha pasi safi kutoka kwa Mwinyi Kazimoto. Simba 1, Yanga 0.
Dakika ya 28 ya kipindi cha kwanza: Mshambuliaji wa Simba, Edward Christopher anapewa kadi ya njano kwa kujiangusha ndani ya eneo la hatari.…

UPDATES YA MPAMBANO WA WATANI WA JADI, SIMBA NA YANGA LEO

Posted by GLOBAL on October 3, 2012 at 6:30pmComments 
Baadhi ya mashabiki wakiwa tayari ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuangalia mpambano wa watani wa jadi, Simba na Yanga muda mfupi ujao.

PATA HABARI MOTOMOTO ZA MICHEZO HAPA

Posted by GLOBAL on October 3, 2012 at 9:19amComments 
SOMA HABARI HIZI KWA KUBOFYA HAPA

MASKINI MAMA DIAMOND

Posted by GLOBAL on October 3, 2012 at 10:38a

No comments:

Post a Comment