ADVERTISEMENT
TUESDAY, OCTOBER 9, 2012
SHABIKI WA YANGA AFARIKI BAADA YA KUSHINDA KWENYE SHINDANO LA KULA MENDE MAREKANI
![]() |
| Edward akila mende |
Edward Archbold, 32, ambaye alisema kwamba ameshawahi kula wadudu hao huko nyumbani kwao Dar es Salaam, Tanzania alianza kuumwa na hatimaye kuanguka katika duka la wadudu mahala ambapo shindano hilo lilikuwa likifanyika katika mji wa Deerfield Beach Ijumaa iliyopita.
Kuna zaidi ya watu 30 walioshiriki shindano hilo katika duka la Ben Siegel Reptile Store.
Mamalka zinasubiri matokeo ya vipimo vya hosptali ili kujua chanzo cha kifo cha Archbold.
Hakuna mtu yoyote aliyeshiriki kwenye shindano hilo aliyeumwa baada ya kumalizika kwa shindano hilo, walisema polisi.
"Tumesikitika sana juu ya tukio hili," alisema Ben Siegel , mmiliki wa duka la wadudu.
""Alionekana kama alitaka kujionyesha na alikuwa mtu mzuri sana," alisema, akiongeza kwamba Archbold hakuonekana kuwa anaumwa kabisa.
Mwanasheria wa Mr.Siegel alisema kwamba washiriki wote walisaini maelezo kwamba "wanakubaliana na matokeo yoyote yatakayotokea kutokana na kushiriki mchezo huo wa ajabu.
Mr.Archbold ambaye alikuwa anajulikana kwa mapenzi yake makubwa kwa timu ya Young Africans ya nchini Tanzania, alishinda shindano hilo lakini badae kidogo akadondoka na kufa.
MONDAY, OCTOBER 8, 2012
PHOTOS: YANGA WALIPOLAMBISHWA SUKARI NA KAGERA MJINI BUKOBA
Ligi kuu ya Tanzania Bara imeendelea hii leo katika uwanja wa kaitaba Mjini Bukoba ambapo timu ya Yanga imeambulia kichapo cha bao 1-0 Kutoka kwa wakata miwa wa Kagera Sugar. (Picha kwa hisani ya bukobawadau blog))
Mfungaji wa bao la Kagera Sugar Temmy Alphonce pichani kulia.
Bao la Kagera Sugar limepatikana dk ya 40 kipindi cha pili cha mchezo, Bao hilo limefungwa na mchezaji mahiri mzaliwa wa Kimbugu Muleba Temmy Alfonce.
Kocha wa Kagera Abdallah King Kibadeni
Benchi la wachezaji wa timu ya Yanga katika hali ya sintofahamu
Safu imara ya Kagera Sugar ikiongozwa na goli kipa Andrew Ntalla na walinzi wake wa karibu kama Juma Nade na Kanoni Salim wanastahili pongezi.
Hekaheka kuelekea langoni mwa Yanga.
Mchezaji wa Yanga Said Bahanzi aumia vibaya baada ya kuangka mnamo dakika ya 22 kipindi cha kwanza cha mchezo.
Bahanzi akipata matibaba kabla ya nafasi yake kuchukuliwa na Jeryson Tegete
Jeryson Tegete akijiandaa kuingia uwanjani
Wachezaji wa Kagera Sugar wakielekea mapumziko baada ya dakika 45 za kipindi cha kwanza.
Sehemu ya mashabiki wa Kagera Sugar Jukwaani
Wadau wa soka na habari kutoka Kasibante Fm Radio
Kamisaa wa mchezo
Waandishi wa habari
Sehemu ya mashabiki wa soka Jukwaa la mchanganyiko
Jukwaa la Golani

LIVE MATCH CENTRE: KAGERA SUGAR 1 - 0 YANGA -FULL TIME
Dakika ya 86, Young Africans inafanya mabadiliko, anaingia Nurdin Bakari anatoka Stephano Mwasika
Dakika ya 70, Kagera Sugar 1 - 0 Young AfricansDakika ya 55, Young Africans inafanya mabadiliko anaingia Shamte Ally anatoka Nizar Khalfani
DK ya 50 Kagera Sugar 0 - 0 Young Africans
Kipindi cha pili cha mchezo ndio kimeanza, Kagera Sugar 0 - 0 Young Africans
Mpira ni mapumziko, Kagera Sugar 0 - 0 Young Africans
Dakika ya 22, Young Africans inafanya mabadiliko, anaingia Jeryson Tegete kuchukua nafasi ya Said Bahanunzi aliyeumia.
Dakika ya 15, Kagera Sugar 0 - 0 Young Africans
DK 10: Yanga 0 - 0 Kagera Sugar
DK 1: Mpira umeanza hapa uwanja wa Kaitaba.
KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA
1.Yaw Berko
2.Juma Abdul
3.Stephano Mwasika
4.Nadir Haroub 'Cannavaro' (C)
5.Mbuyu Twite
6.Athuman Idd 'Chuji'
7.Nizar Khalfan
8.Frank Domayo
9.Said Bahanunzi
10.Didier Kavumbagu
11.Haruna Niyonzima
Subs:
1.Ally Mustapha 'Barthez'
2.Oscar Joshua
3.Ladislaus Mbogo
4.Omega Seme
5.Shamte Ally
6.Nurdin Bakari
7.Jeryson Tegete
11.Haruna Niyonzima
Subs:
1.Ally Mustapha 'Barthez'
2.Oscar Joshua
3.Ladislaus Mbogo
4.Omega Seme
5.Shamte Ally
6.Nurdin Bakari
7.Jeryson Tegete
EXCLUSIVE: NURDIN BAKARY - SAID SUED NDIO ALIYENIFUNDISHA VIZURI SOKA - USHIRIKIANO WETU NDANI YA SIMBA ULIKUWA NOMA
Kiungo Nurdin Bakar ameshapona majeraha yake ambayo yalimfanya kuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi mitano. Nurdin ambaye anaingia katika msimu wake wa kumi katika ligi kuu Tanzania Bara, huku akiwa amezichezea klabu mbili tu za Simba na Yanga, alikutana na mwandishi wa mtandao huu na kukutana na maswali kadhaa ambayo www.shaffihdauda.com imeonani vyema ikikupatia sehemu ya mazungumzo hayo.
NURDIN; Hivi sasa naendelea vizuri na naweza kucheza mechi pale nitakapopata nafasi.
SWALI; Kwa kipindi chote hicho ni namna gani umeumiss mchezo huu na ulikuwa ukijisikiaje binafsi kujiona upo nje ya mchezo kutokana na majeraha?
NURDIN; Sidhani kama kuna mtu anafurahia kuumwa kaka, Iliniuma sana kutokana na kwamba soka ndiyo kazi yangu, nategemea uzima huku miguu yangu ikifanya kazi ili niweze kuishi, lakini kila jambo hupangwa na mungu kwani ndiye hupanga kila kitu hapa duniani.
SWALI; Unadhani unafuraha hivi sasa na nini umepanga kufanya mara baada ya kupata nafasi kikosini?
NURDIN; Ndiyo, nina furaha kubwa kurejea uwanjani kwani kutanisaidia kuonekana tena mbele ya watu, huwezi kujua naweza kupata bahati ya kupata timu nje ya nchi
SWALI; Je, klabu yako ina imani gani na wewe?
NURDIN; Klabu ina niamini kama mchezaji mzuri na bora aliyepo katika kikosi, ndiyo maana nipo hapa na wamekuwa wakinisaidia kuhakikisha narejea tena uwanjani na kucheza soka
SWALI; Umefanya kazi na makocha kama Dusan Kondic, Kostadin Papic na Sam Timbe na wote walikuamini sana, hukupata bahati ya kufanya kazi ndani ya uwanjani Tom Saintfiet.... Unamzungumziaje kocha, Tom ambaye ameondolewa ndani ya timu muda mfupi baada ya kuingia?
NURDIN; Nashukuru nilikuwa na mahusiano mazuri tu na makocha wote ambao nimewahi kufanya nao kazi, si hao tu wapo wengi Kaka. Siwezi kumzungumzia, Tom mimi nahitaji kufanya kazi inayotakiwa na kocha yoyote yule.
SWALI; Kuna maingizo mengi ya viungo vijana katika kikosi chenu, unazungumziaje sasa uwepo wako katika kikosi cha kwanza , kwani kwa misimu minne ambayo umecheza Yanga inaonekana msimu huu ukawa na ushindani mkubwa kwa kila nafasi ndani ya timu yenu?
NURDIN; Na imani kwa jitihada zangu na mafundisho ya makocha wangu nitacheza, ila kocha ndiye mwenye uamuzi wa mwisho, kwani ana muono wake . Viungo wote Yanga ni 'moto' na ushindani wa nafasi ni mkubwa sana
SWALI; Unaonekana kuwa na uwezo wa kucheza nafasi nyingi uwanjani, nini siri ya hili?
NURDIN; Wakati nacheza mpira wa utotoni nilikuwa na tabia ya kuhama hama namba mchezoni. Kikubwa nakuwa msikivu sana na kufanya ambacho nakuwa nafundishwa na makocha wangu na mimi mwenyewe kuongeza jitihada zangu binafsi.
SWALI; Unawezaje kuibuka na kufunga mabao muhimu katika michezo mikubwa na migumu, unawezaje kufunga mabao ya vicha wakati huna kimo kirefu?
NURDIN; Huwa najipanga vizuri kutokana na uelekeo wa mpira unapokwenda, hivyo huwa najipanga vizuri kusubiri mipira na mara nyingi nimefanikiwa kufunga baada ya kujipanga vizuri
SWALI; Unamzungumiaje, Said Sued ambaye mlitokea kuwa mabeki bora wa pembeni mnaoshirikiana vizuri kila mmoja akibadilisha nafasi na mwenzake, nini siri ya uchezaji wenu ule ambao haupo tena na wala hauonekani kwa timu nyingine?
NURDIN; Yaani, huyo Sued mimi ndiye alikuwa akinielekeza jinsi ya kucheza, tulikuwa na ushirikiano mzuri sana na tulikuwa tukiishi pamoja katika nyumba moja. Ushirikiano wetu ndani ya Simba ulikuwa ni mzuri, tulikuwa tukiishi kama familia moja nadhani ushirikiano ule ulianzia ndani ya nyumba yetu na kuupeleka uwanjani na tulifanikiwa sana.
SWALI; Kwa nini uliondoka Simba SC?
NURDIN; Sifahamu, kwa nini waliniacha kwani nilikuwa bado kijana mbichi.
SWALI; Kwa nini ulichagua Yanga na si timu nyingine mara baada ya kuondoka Simba?
NURDIN; Niliichagua Yanga kwa sababu ndioyo klabu iliyonihitaji, na nina furaha kuwa ndani ya timu hii.
SWALI; Nini malengo yako sasa mara baada ya kupona majeraha yako, umecheza Simba na Yanga kwa miaka tisa mfululizo sasa, nini umejifunza?
NURDIN; Malengo yangu bado hayajatimia, nahitaji kucheza zaidi nje ya nchi katika siku za usoni. Nafurahi tu kuwa nimeweza kucheza katika vilabu vikubwa vya Tanzania kwa miaka tisa mfululizo nje ya mafanikio nimejifunza mengi sana kama binadamu, kuwa na nidhamu na jinsi ya kuishi vizuri na kila mtu imekuwa ni sehemu iliyochangia kwa kiasi kikubwa kuwa hapa nilipo
SIMBA NA OLJORO WAINGIZA MIL.40 - TIMU ZAGAWANA MIL. 16
Pambano la Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Simba na Oljoro JKT ya Arusha lililochezwa jana (Oktoba 7 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kumalizika kwa wenyeji kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 limeingiza sh. 46,680,000.
Watazamaji 8,081 walikata tiketi kushuhudia mechi hiyo kwa viingilio vya sh. 5,000, sh. 8,000, sh. 15,000 na sh. 20,000 huku kila klabu ikipata mgawo wa sh. 8,172,396.61 wakati Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) iliyolipwa ni sh. 7,120,677.97.
Mgawo mwingine wa mapato hayo ni posho ya msimamizi wa kituo sh. 120,000, kamishna wa mechi sh. 193,000, waamuzi sh. 210,000, mwamuzi wa akiba (reserve referee) sh. 70,000, usafi na ulinzi wa uwanja sh. 2,350,000 na Wachina (stadium technical support) sh. 2,000,000.
Airtel na msanii AY waanza kampeni za kusaidia shule nchini
Na Mwandishi wetu
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kupitia kitengo chake cha huduma kwa jamii imeanza mchakato wa kutembelea baadhi ya shule zitakazonufaika na mradi maalum wa kuwasaidia watoto wenye mahitaji maalum ili kujionea changamoto zinazowakabili pamoja na kuwahimiza watanzania kuweza kuchangia mradi huo unaoendeshwa kwa ushirikiano na Baraza la maendeleo ya vitabu Tanzania (BAMVITA).Afisa mawasiliano na matukio wa Airtel Bi Dangio Kaniki amesema kampuni hiyo ikiwa na Balozi wake msanii Maarufu AY itatembelea shule zote zilizopo Dar es Salaam pamoja na mikoani na kubaiunisha matatizo wanaoyokumbana nayo ili kuona namna ya kuwasaidia.Amesema shule za wanafunzi wenye mahitaji maalum zinahitaji vitendea kazi vingi ili kuwafanya wanafunzi hao kuweza kupatiwa elimu inayostahili.
“Shule hizi zinamahitaji mengi sana, Airtel tumeona ni vyema kumtumia pia Balozi wetu huyu msanii maarufu nchini A Y kuendea kuwafikishia jamiii ujumbe waendelee kuchangia katika mradi huu wenye lengo la kuendeleza jamii” alisema Bi DANGIO KANIKI Afisa mawasiliano na matukio wa AirtelAkizungumza mara baada ya kutembelea shule ya msingi Sinza Maalum Balozi wa Airtel AMBWENE YESAYA (A.Y) amesema kukamilika kwa mradi huo kutasaidia kuongeza kiwango cha elimu kwa watoto wenye mahitaji maalum.
“Watoto hawa wenye uhitaji maalum nimejionea mwenyewe kuwa wakiwezeshwa wanaweza, ndio maana naona ni vyema zaidi kushirikiana na Airtel pamoja na jamii kwa ujumla kuhakikisha tunawachangia vijana wetu hawa nao waweze kuendeleza hata vipaji vyao pamoja na elimu yao Ninaomba kuwakubusha watanzania kuchangia katika kuwapatia vijana hawa vifaa mbalimbali ambavyo ni changamoto kwao, unaweza kuchangia kwa kupitia Airtel Money ambapo unaandika jina la fumbo VITABU na utatuma kiasi chochote au kwa kutuma SMS yenye neno VITABU kwenda namba 15626 na atakuwa amechangia shilingi 200 tu.Watanzania naomba tusaidiane katika elimu kwa kuwa tuanaamini Tanzania itajengwa na sisi wenyewe. Alimalizia kusema
AMBWENE YESAYA ---Balozi wa AirtelWakati wa ziara hio mwuishoni mwa wiki hii Mwalimu Mkuu wa shule ya Sinza Maalum, SIMON Milobo alibainisha kuwa shule hiyo inakabiliwa na changamoto mbali mbali ikiwemo uhaba wa vifaa vya kufundishia pamoja na mafuta ya kuendeshea gari la wanafunzi.Kampeni ya Airtel kwa kushirikiana na Bamvita itaendeshwa kwa muda wa miezi mitatu , na Watanzania wataweza kuchangia kwa kutuma neno “Vitabu” kwenda namba 15626 na kwakufanya hivyo kila SMS utakayotuma utakuwa umechangia shilingi 200 itakayoingizwa katika mradi huu”
Mwananafunzi wa shule ya Sinza Maalum akiimba wimbo wa mwanamuzi Ambwene Yesaya (AY) walipotembelewa na mwanamuzi huyo mwishoni mwa wiki hii wakiongozana na wafanyakazi wa Airtel, kushoto ni meneja mahusiano wa jamii wa Airtel Hawa Bayumi, watatu kutoka kulia Ambwene Yessaya (AY) akifwatiwa na Afisa uhusiano na matukio wa Airtel Dangio Kaniki. Student of Sinza Maalum performing a song of R&B artist Ambwene Yessaya known as AY, when he visited the school accompanied by Airtel staffs end of this week, left is Corporate Social Responsibility Manager of Airtel Hawa Bayumi,, third from right is Airtel ambassador Ambwene Yessaya followed by Public Relations and Events officer of Airtel Dangio Kaniki
Wafanyakazi wa Airtel wakiwa na balozi wao Ambwene Yesaya katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya sinza Maalum iliyopo jijini Dar Es Salaam walipotembelea shule hiyo mwishoni mwa wiki hii kama mwendelezo wao wa kusaidia jamii kwa watoto wenye mahitaji maalum kupitia mradi wao wa kuchangia Elimu kwa kushirikiana na BAMVITA.Staff s from Airtel with their ambassador Ambwene Yessaya (AY) on a group picture with students from Sinza Maalum in Dar Es Salaam when visited the school at the end of this week as part of supporting schools with special needs in education through their project who are working together with Bamvita.
Balozi wa Airtel Ambwene Yesaya (AY) wakiimba kwa pamoja na mwanafunzi wa shule ya Sinza Maalum (Kushoto) mwishoni mwa wiki hii walipotembelewa na mwanamuzi huyu aliyeongozana na wafanyakazi wa Airtel kama mwendelezo wao wa kusaidia jamii kwa watoto wenye mahitaji maalum kupitia mradi wao wakishirikiana na Bamvita wa kuchangia Elimu. Airtel ambassador Ambwene Yessaya (AY) singing together with a student of Sinza Maalum (left) the end of this week when they had a visit from him followed by Airtel staff as continuation of Airtel supporting education to this country with children with special needs who are working together with Bamvita .

MADRIADISTAS WACHOSHWA NA MOURINHO!
Read that but My Conclussions are:
1. That was the weakest barca side in recent years na we failed kuwafundisha soka
2. Messi, that miidget is some miles aheada cristiano, apart from kufunga which goals zote zilikuwa ni team work the latter didnt do tht much km the lil guy
3. Pepe is our best defender but our worst vs Barca coz he often get so emotional and go banannas
4. Mou hajui kbs how to play barca na amekariri subs
5. Barca won in my opinion coz they still have A8 point gap and they missed they key players so jana walikuwa underdogs
6. As long as mou stays in charge kazi tunayo na nagomea games zetu zote till jamaa asepe au mpk niridhike team inacheza
We have beaten them with all their players in recent past and we wouldn't fail to do that again. Mou has his faults, I agree but who doesn't? I ain't gonna whine about the result this time. I don't like the way we play either but that's that. And uh, I don't wanna involve myself in any CR7 vs Messi debate but I'm gonna say this; We both know what each of them is capable of. Cruyff himself admitted this time that these two are a class apart. Messi is slightly better IMO, SLIGHTLY better but when it comes to goal scoring effiency they are on par. By the way, you forgot to mention Arbeloa and this team would be able to play better than we do if we had two ball playing central midfielders to assist Alonso. Khedira is good but not the best especially against a possession team like Barca as his skill-set is limited. KPB and Benat would be my buys and our midfield would be way better. Arbie is crap.
MWENYEKITI WA COASTAL UNION AHMED AURORA APATA AJALI.
Mwenyekiti wa klabu ya Coastal Union Ahmed Aurora amepata ajali wakati akitoka kwenye mchezo dhidi ya Ruvu Shooting.Pichani ni gari alilokuemo Mr Aurora.
SUNDAY, OCTOBER 7, 2012
RICK ROSS AONDOKA BONGO JIONI HII YA LEO - HUKU AKIMWAGA SIFA KWA TANZANIA AHAIDI KURUDI TENA
Mkurugenzi wa Clouds Entertainment Bwana Joseph Kussaga akiwa na mwanae wakiwagana na Rick Ross
![]() |
| Feza Kessy na Vanessa Mdee wakishow love na Rick Rozay The Boss |
![]() |
| Millard Ayo akigana na The Boss Rozayyyyyyyyyyyyyyyy |
AMRI KIEMBA BAADA YA KUIPIGA YANGA - AONGOZA MAUAJI DHIDI YA OLJORO - SIMBA WAKIWATAFUNA WANAJESHI 4-1
Mchezaji wa timu ya Simba Christopher Edward akijaribu kuwania mpira miguuni mwa mchezaji Nafo Zuberi wa JKT Oljoro ya Arusha katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom uliokutanisha timu hizo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jioni hii, mpira umekwisha na timu ya Simba imeshinda magoli 4-1 baada ya kuizidi ujanja JKT Oljoro ya Arusha na kutumia makosa ya wachezaji wa timu hiyo, magoli ya Simba yamefungwa na wachezaji Amri Kiemba magoli mwili, Felix Sunzu kwa njia ya penati na Emmanuel Okwi goli moja.| Kiungo wa Simba Mwinyi Kazimoto akikwaana na Markus Raphael wa JKT Oljoro katika mchezo waligi kuu uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam |
Mlinzi wa Simba Nasoro Masoud Cholo akigombea mpira na Salim Mbonde wa JKT Oljoro kwenye mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika uwanaj wa Taifa jijini Dar es Salaam leo |
| Mlinda mlango wa JKT Oljoro Shaibu Issa akikamata mpira mbele ya washambuliaji wa Simba imeshinda bao4-1 mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa taifa leo |
Mlinda mlango wa JKT Oljoro Shaibu Issa akikamata mpira mbele ya washambuliaji wa Simba.matokeo simba imeshinda bao4-1. Picha kwa hisani ya Fullshangweblog na mzukakamili-mzuka.blogspot.com |
SATURDAY, OCTOBER 6, 2012
RICK 'ROZAY' ROSS ATISHA FIESTA DAR - YAVUNJA REKODI KWA UMATI WA WATU
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Rick Ross akiimba jukwaani usiku huu mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake kwenye viwanja vya Lidaz Club,wakati wa tamasha la Serengeti Fiesta likirindima.
Mkali mwingine wa miduara AT na madansa wake wakilishambulia jukwaa.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,akiimba jukwaani na shabiki wake.
Mashabiki wakitaka kuangusha uzio uliowekwa kwa ajili ya usalama.
Baadhi ya Askari wakijaribu kuweka usalama wa kutosha kwa Mwanamuziki Rick Ross imara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Lidaz Club,kwa ajili ya kutumbuiza kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 201.
Viwanja vya Lidaz palikuwa hapatoshi hata kidogo.
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani,Rick Ross akijisikia furahaa kuwaona Watanzania wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwa ajili ya kumshuhudia yeye akikamua stejini.
Watu kibao wakiwa ndani ya viwanja vya lidaz club usiku huu.
Msanii wa miondoko ya rusha rohoo a.k.a Miduara,Shilole akijiachia jukwaani vilivyo na madansa wake usiku huu mbele ya umati mkubwa uliofika kwenye viwanja vya Lidaz Club,katika kuhitimisha kilele cha tamasha la Serengeti Fiesta 2012.
Sehemu ya umati watu waliojitokeza kila kona jiji la Dar na kwingineko kuwashuhudia wasanii mbalimbali wakitumbuiza kwenye jukwaa la tamasha la Serengeti Fiesta 2012,akiwemo Mwanamuziki wa kimataifa kutoka nchini Marekani,Rick Ross.
Wasanii wa kundi la Wanaume TMK,likiongozwa na Mh Themba sambamba na Chege Chigunda wakilishambulia jukwaa vilivyo usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2012,linaloendelea hivi sasa katika viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni jijini Dar.uwanja wa Lidaz Club hapatoshi kabisa usiku huu.
Nyomi la Watu ile balaa usiku huu.
Wasanii wa kikundi cha Makomando kutoka THT wakionesha umahiri wao wa kucheza jukwaa.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dyana pichani akionesha mbwembewe zake kabla ya kukamata kipaza sauti,mbele ya umati mkubwa uliojitokeza kwa wingi usiku huu ndani ya viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni jijini Dar
Msaniii mahiri wa kizazi kipya,Barnaba Boya kiimba jukwaani huku Dyana na skwadi lake wakionesha mbwembwe zao kama kawa.
Mmoja wa wshindi wa shindano la Serengeti Supa Nyota 2012,Youk Killer akishusha mistari yake nguvi usiku huu,huku shangwe na vigele vigele vikiwa vimetawala.
Mashabiki wakishangweka usiku huu vilivyo.
Mmoja wa washindi wa shindano la Serengeti Supa Nyota 2012,Jo Maker akifloo jukwaani. .
Baadhi ya mashabiki wakijiachia vilivyo usiku huu ndani ya tamasha la Serengeti Fiesta 2012
![]() |
| Mmoja wa wshindi wa shindano la Serengeti Supa Nyota 2012,NeyLee akiimba jukwaani . |
Baadhi ya wasanii kutoka nyumba ya vipaji THT wakiamsha amsha usiku huu wakati tamasha la Serengeti Fiesta 2012 likiendelea huku mashabiki na wapenzi wa tamasha hilo wakiendelea kumiminika usiku huu ndani ya viwanja vya Lidaz Club,jijini Dar.
Mmoja wa wasanii chipukizi kutoka kwa THT,akiimba kwa hisia mbele ya umati mkubwa wa watu (haupo pichani),uliojitokeza kushuhudia wasanii wa hapa nyumbani na nje wakitumbuiza katika jukwaa moja usiku huu.
Mmoja wa wasanii chipukizi akinogesha jukwaa la Serengeti Fiesta 2012 usiku huu
The Wacko Jako wa bongo akifanya vitu vyake jukwaani usiku huu
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake wakiwa tayari ndani ya viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni jijini Dar usiku huu wakati wa tamasha la Serengeti Fiesta likiendelea kurindima,huku wakimsubiri kwa hamu mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Marekani,Rick Ross ambaye anatarajia kukamua usikuu huu.
Wasanii wa kikundi cha Makomando kutoka THT wakionesha umahiri wao wa kucheza jukwaa.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dyana pichani akionesha mbwembewe zake kabla ya kukamata kipaza sauti,mbele ya umati mkubwa uliojitokeza kwa wingi usiku huu ndani ya viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni jijini Dar
Msaniii mahiri wa kizazi kipya,Barnaba Boya kiimba jukwaani huku Dyana na skwadi lake wakionesha mbwembwe zao kama kawa.
Mmoja wa wshindi wa shindano la Serengeti Supa Nyota 2012,Youk Killer akishusha mistari yake nguvi usiku huu,huku shangwe na vigele vigele vikiwa vimetawala.
Mashabiki wakishangweka usiku huu vilivyo.
Mmoja wa washindi wa shindano la Serengeti Supa Nyota 2012,Jo Maker akifloo jukwaani. .
Baadhi ya mashabiki wakijiachia vilivyo usiku huu ndani ya tamasha la Serengeti Fiesta 2012
![]() |
| Mmoja wa wshindi wa shindano la Serengeti Supa Nyota 2012,NeyLee akiimba jukwaani . |
Baadhi ya wasanii kutoka nyumba ya vipaji THT wakiamsha amsha usiku huu wakati tamasha la Serengeti Fiesta 2012 likiendelea huku mashabiki na wapenzi wa tamasha hilo wakiendelea kumiminika usiku huu ndani ya viwanja vya Lidaz Club,jijini Dar.
Mmoja wa wasanii chipukizi kutoka kwa THT,akiimba kwa hisia mbele ya umati mkubwa wa watu (haupo pichani),uliojitokeza kushuhudia wasanii wa hapa nyumbani na nje wakitumbuiza katika jukwaa moja usiku huu.
Mmoja wa wasanii chipukizi akinogesha jukwaa la Serengeti Fiesta 2012 usiku huu
The Wacko Jako wa bongo akifanya vitu vyake jukwaani usiku huu
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake wakiwa tayari ndani ya viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni jijini Dar usiku huu wakati wa tamasha la Serengeti Fiesta likiendelea kurindima,huku wakimsubiri kwa hamu mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Marekani,Rick Ross ambaye anatarajia kukamua usikuu huu

1.jpg)

No comments:
Post a Comment