Monday, October 15, 2012


DAAAAAUUUUUUM!!!!! DARASA IS BACK AGAIN NA NISHIKE MKONO NA SIKATI TAMAA MOVIE SOON KUINGIA KITAANI

 

Nishike mkono ndio single mpya ya mzee wa sikati tamaa Rapper Darasa Feat Winnie  ambayo itaanza kusikika kuanzia kesho kupitia Clouds Fm, EXCLUSIVELY unaweza kuiskiliza na kuidowload  hapa.


 
pini limetengenezwa na Gard pamoja na Manek kupitia AM Records. nimeongea na darasa kwa ajili yako na hivi ndivyo alivyotiririka

"Plan zangu ni kutimiza moja kati ya ndoto zangu, ambayo ni kuwa na album haijalishi inalipa au hailipi kiasi gani nilishasema neno hilo miaka mingi  iliyopita. Nilikua nanunua album ya machozi jasho na damu so najidai na album ikiwa ngoma itaenda vizuri inshaalah. Pia movie ya sikati tamaa kama mungu akipenda itakua mtaani soon ambayo inaeleza maisha na hustle zangu, na ndani wako watu kama Dj Choka, Madee, Godzilla, Adam Mchomvu, Ze boy na wengine wengi wakiwemo bongo movies na mimi nikiwa kama muhusika mkuu" amesema Darasa

No comments:

Post a Comment