Monday, October 15, 2012


THOMAS MASHALI AMTWANGA MGANDA MEDY SEBYALA MANZESE

Wachezaji wa Simba, Juma Nyosso kulia akiwa  na kushoto Haruna Moshi, beki wa Yanga Godfrey Taita bwakiwa na Profesa Jay, wakimuombea dua bondia Thomas Mashali kabla ya pambano lake jana.
Bondia Thomas Mashali akiwa na mikanda yake ya ubingwa wa Tanzania pamoja na wa Afrika Mashariki na Kati alioupata jana
Rais wa TPBO, Yasini Abdallah 'Ustadh' akisalimiana na Profesa Jay kwenye kona ya Mashali
Boban, Nyosso, Taita, Profesa wakiwa kwenye kona ya Mashali wakati wa kupigwa wimbo wa taifa

No comments:

Post a Comment