Thursday, October 11, 2012


Habari ambayo tumeipata kuhusu mwana dada huyu ni kwamba siku ya jana amejifungua salama watoto wawili mapacha wote wakiume .. congratulations K-lyn kwa kupata watoto hao na  tunakutakia malezi mazuri

No comments:

Post a Comment